LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 5, 2024

WAZIRI LUKUVI ATETA NA WAZIRI MKUU, NAIBU WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Serikali Bungeni, William Lukuvi akijadiliana jambo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa bungeni Dodoma Novemba 5, 2024.



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Serikali Bungeni, William Lukuvi akiteta na  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko bungeni Dodoma Novemba 5, 2024.

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages