Nov 19, 2024

MIILI YA WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA KUPOROMOKA GHOROFA KARIAKOO YAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM

Mejeneza yenye miili ya watu 16 waliofariki katika ajali ya kuporomoka ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam, ikifikishwa na wanajeshi katika Uwanja wa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa. Uagaji huo uliongozwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Pages