LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 16, 2024

TUMERIDHISHWA NA ZOEZI LA UANDIKISHAJI - MAKALLA


Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA. Amos Makalla akielezea jinsi chama hicho kinavyoridhishwa na uandikisha wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Ameyasema hayo leo baada ya kujiandikisha katika Ofisi ya Serikali za Mtaa wa TPDC, Kata ya Mikocheni Dar es Salaam.




 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages