Mtekeleza Sauti Mwandamizi wa Makao Makuu ya Kanisa Halisi, Tegeta Namanga jijini Dar es Salaam, Amani Halisi akisoma Hotuba ya Baba Halisi katika Mkutano wa Kijamii uliofanyika 5 Kisleu, 1 Majira Halisi (Oktoba 13, 2024), katika
Uwanja maarufu wa Mwanga Community Centre, Manispaa ya Kigoma - Ujiji. Mkutano huo ulikuwa wa Baba Halisi kufafanua jinsi alivyoisikia Sauti Kuu ya Muumba wa Vyote, Wote na Yote Mwaka 2015, 2019, 2020 na 2023.Mtekeleza Sauti Mwandamizi wa
Makao Makuu ya Kanisa Halisi, Tegeta Namanga jijini Dar es Salaam,
Amani Halisi akiendesha Ibada katika Kanisa Halisi Kituo cha Kigoma-Ujiji, kabla Mkutano wa Kijamii uliofanyika 5 Kisleu, 1 Majira Halisi (Oktoba 13, 2024), katika
Uwanja maarufu wa Mwanga Community Centre, Manispaa ya Kigoma - Ujiji.Mtekeleza Sauti Mwandamizi wa
Makao Makuu ya Kanisa Halisi, Tegeta Namanga jijini Dar es Salaam,
Amani Halisi akiendesha Ibada hiyo.
Uzao wakiwa kwenye Ibada hiyo.
Uzao wakiwa kwenye Ibada hiyo.Uzao wakiwa kwenye Ibada hiyo.Bustani Halisi Kigoma.
Watekeleza Sauti kutoka mikoa mbalimbali wakisubiri muda wa kuanza Mkutano Mkubwa wa Kijamii, katika Uwanja wa Mwanga Community Centre, Kigoa - Ujiji.
Mtekekeza Sauti wa Jiji Heshima Halisi (katikati) akizungumza na Watekeleza sauti wa baadhi ya mikoa wakati wakisuri muda wa kuanza mkutano huo.
Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Kisangani, Kata ya Mwanga Kaskani,
Genoveva
Samwel akifungua mkutano huo. Viongozi mbalimbali na Watekeleza Sauti wa Kanisa Halisi wakiwa kwenye mkutano huo.Viongozi mbalimbali na Watekeleza Sauti wa Kanisa Halisi wakiwa kwenye mkutano huo.Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Kisangani, Kata ya Mwanga Kaskani,
Genoveva
Samwel akirejea baada ya kufungua mkutano huo.Watu mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwimbaji Uelewa Sauti Moja Halisi akiongoza waimbaji wezake kutumbuiza wimbo wa kumtukuza Chanzo Halisi wakati wa mkutano huo.
Waimbaji wakitumbuiza wimbo wa kumtukuza Chanzo Halisi wakati wa mkutano huo.Uzao wakicheza.
Uzao wakicheza.Viongozi mbalimbali na Watekeleza Sauti wa Kanisa Halisi wakicheza.Mtekeleza Sauti Mwandamizi wa
Makao Makuu ya Kanisa Halisi, Tegeta Namanga jijini Dar es Salaam,
Amani Halisi akisoma Hotuba ya Baba Halisi katika Mkutano wa Kijamii uliofanyika 5 Kisleu, 1 Majira Halisi (Oktoba 13, 2024), katika
Uwanja maarufu wa Mwanga Community Centre, Manispaa ya Kigoma - Ujiji. Mkutano huo ulikuwa wa Baba Halisi kufafanua jinsi alivyoisikia Sauti Kuu ya Muumba wa Vyote, Wote na Yote Mwaka 2015, 2019, 2020 na 2023. HABARI HALISI BOFYA👉 HAPA
Your Ad Spot
Oct 16, 2024
Home
featured
KIJAMII
PICHA: MKUTANO WA KANISA HALISI UWANJA WA COMMUNITY CENTRE KIGOMA-UJIJI ULIVYOFANA
PICHA: MKUTANO WA KANISA HALISI UWANJA WA COMMUNITY CENTRE KIGOMA-UJIJI ULIVYOFANA
Tags
featured#
KIJAMII#
Share This
About Bashir Nkoromo
KIJAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇