Mbunge wa Nyang'wale, Hussein Nassor Amar akizidi kupambania kuhusu ujenzi wa Barabara ya Kahama, Nyang'wale hadi Busisi kwamba utaanza lini? Amehoji hivyo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Oktoba 31, 2024. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇