Mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza ameikomalia serikali bungeni Dodoma katika kipindi cha maswali na majibu na kuhoji kwamba ni lini uzalishaji wa madini aina ya Niobium na kiwanda cha Ferroniobium utaanza katika Halmashauri ya Mbeya?IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇