LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 4, 2024

KANISA HALISI LACHOMOZA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI JIJINI ARUSHA, WAZEE WAKUMBUKA FADHILA ZA BABA HALISI

Mtekeleza Sauti wa Kanisa Halisi Kituo cha mkoa wa Arusha, Amani Halisi (mwenye vazi jeupe) akiwa na viongozi wa Wilaya ya Arusha mjini katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, yaliyofanyika Viwanja vya Ngarenaro, jana. Pamoja na mambo mengine Wazee wa Wilaya hiyo walilishukuru Kanisa Halisi kwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo, Baba Halisi kuwapa msaada wa mashine ya kusaga na kukoboa nafaka, mapema Mei mwaka huu. Shukurani hizo ziiwasilishwa kwenye maandhimisho hayo na Katibu wa Baraza la Wazee Arusha Mjini, Emmanuel  Ndalimana. Mtekeleza Sauti wa Kanisa Halisi Kituo cha mkoa wa Arusha, Amani Halisi (mwenye vazi jeupe) akiwa na viongozi wa Wilaya ya Arusha mjini katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, yaliyofanyika Viwanja vya Ngarenaro, jana.Wanannchi wa Arusha Mjini hususan Wazee, wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, yaliyofanyika Viwanja vya Ngarenaro, jana.
 
Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka ambayto Kiongozi Mkuu wa Kanisa Halisi, Baba Halisi aliwakabidhi Wazee wa Arusha Mjini Mei mwaka huu (2024).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages