LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 4, 2024

RAIS DK. SAMIA AZINDUA TUME YA RAIS YA MABORESHO YA KODI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024. Wapili kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali  kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024. (Pichana Ikulu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages