Viongozi na wanachama wakifurahia
Katibu wa Itikadi,Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla akizungumza na viongozi pamoja na wanachama wa CCM wilaya ya Kahama mkoa wa shinyanga, leo Oktoba 10 2024 katika ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Emmanuel Nchimbi
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Katibu wa Itikadi,Uenezi na Mafunzo, CPA Amos MakallaKatibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Rabia Abdalla Hamid akizungumza na viongozi pamoja na wanachama wa CCM wilaya ya Kahama mkoa wa shinyanga, leo Oktoba 10 2024 katika ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Emmanuel Nchimbi
Usikivu
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇