LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 17, 2024

VIJANA WAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KUKEMEA WANAOVURUGA AMANI YA NCHI


Baadhi ya vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wameunga mkono kauli ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa chama hicho, Balozi, Dk. Emmanuel Nchimbi ya kukemea na kulaani vitendo vya utekaji vinavyofanywa na baadhi ya watu wasioitakia mema Tanzania. Vijana hao kutoka mikoa mbalimbali nchini ambao ni wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM pamoja na mambo mengine walitoa maoni yao hayo wakati wa kikao cha baraza hilo kilichofanyika kwenye Ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Septemba 17, 2024.







 

IMEANDALIWA NA
 RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages