LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 17, 2024

RAIS DK. SAMIA ATUNUKIWA TUZO NA JESHI LA POLISI, LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro leo tarehe 17 Septemba, 2024. katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Msauni.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages