LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 24, 2024

RAIS SAMIA ACHANGIWA SH. 1,800 NA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI, MKOANI RUVUMA

-Awachangia Shilingi Milioni 100 ya Ujenzi wa Bwalo.

-Awapatia Ng'ombe 2, Mchele kilo 500 na mafuta.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan amechangiwa kiasi Cha Shilingi 1,800 na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu ya Mkoani Ruvuma.

Rais Dkt, Samia amechangiwa kiasi hicho Cha fedha wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Shule hiyo ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Milioni 600 leo September 24,2024.


Rais Samia akichangiwa fedha hizo na mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages