LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 24, 2024

WENGI WAFURIKA MKUTANO WA RAIS SAMIA PERAMIHO

Sehemu ya umati mkubwa wa wananchi wa Mji wa Peramiho wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliposimama eneo hilo kwa ajili ya kuwasalimia, akitokea Kijiji cha Lipokela, Kata ya Liganga, Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Kabla ya hapo, Rais Dkt. Samia alitembelea na kuzungumza na wafanyakazi wa Shamba la Kahawa la AVIV Tanzania Limited, tarehe 24 Septemba 2024.


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi katika eneo hilo la Peramiho.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages