LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 24, 2024

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI MIRADI YA MAJI RUVUMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kata ya Mtyangimbole, Halmashauri ya Madaba, Wilaya ya Songea, baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye Mradi wa Maji wa Mtyangimbole, kwa niaba ya miradi mingine ya maji 30 inayoendelea kutekelezwa katika Mkoa wa Ruvuma, leo tarehe 24 Septemba 2024, akiwa katika siku ya pili ya ziara yake mkoani humo.


Rais Samia akiwa na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi huo.

Baadhi ya wananchi wakiwa katika hafla hiyo.
Sehemu ya umati wa watu ulioshuhudia tukio hilo muhimu.
Wananchi wakifurahia baada ya mradi huo kuwekewa jiwe la msingi.
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages