LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2024

MONGELLA AWAFUNDA VIONGOZI WA MASHINA, MATAWI KAHAMA


 


John Mongella, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, akizungumza  na viongozi wa mashina na matawi ya CCM katika Halmashauri ya Msalala, mkoani Shinyanga. Mongella, ambaye pia ni mlezi wa chama kwa mkoa huo, yupo katika ziara ya siku saba inayolenga kukagua uhai wa chama na kuhakikisha utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2024. Kesho, ataendelea na ziara yake katika Halmashauri ya Ushetu, ambako atafanya vikao vya ndani na vya hadhara kwa lengo la kuimarisha chama. 07/9/2024






 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages