LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2024

TUSIPOSHIRIKIANA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA WABAKAJI, TAIFA LITAANGAMIA- CHATANDA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda akiwahimiza wanawake kushirikiana kuwalinda watoto dhidi ya wabakaji na kwamba bila kufanya hivyo Taifa litaangamia.

Ameyasema hayo alipokuwa akihutubia wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Utoaji wa Msaada wa Kisheria na uzinduzi wa Kamati ya Haki na Sheria ya UWT kwenye viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma Septemba 7, 2024.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages