LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 3, 2024

DK NDUGULILE APONGEZWA NA KAWAWA KUWA MKURUGENZI WA WHO AFRIKA

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje  Ulinzi na Usalama, Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa akimpongeza Mbunge wa Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika walipokutana kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Septemba 4, 2024.




 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages