LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 3, 2024

TUMEKUBALIANA SHERIA HII ISIWAHUSISHE MACHINGA, MAMA LISHE - MWANYIKA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akitoa ufafanuzi leo Bungeni Dodoma, kwamba marekebisho ya sheria ya kuonesha bei za bidhaa haitawahusu wafanyabiashara ndogondogo wakiwemo Wamachinga na Mama Lishe.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages