LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 23, 2024

ZIARA YA MADIWANI WA KINONDONI JIJINI MWANZA

Meya wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Songoro Mnyonge akimtambulisha Naibu Meya Manispaa ya Kinondoni  Michael Urio (kulia) kwa Naibu Meya wa Jiji la Mwanza  Biku Kotecha katika ofisi za Meya wa Jiji hilo la Mwanza jana.

Naibu Meya Manispaa ya Kinondoni Urio akisalimiana Naibu Meya jiji la Mwanza Biku Kotecha.




No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages