LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 29, 2024

NMB YADHAMINI BUNGE BONANZA KWA ZAIDI YA SH. MIL. 100

Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Festo Sanga (wa pili kushoto) akiwa na maafisa wa Benki ya NMB wakionesha vifaa mbalimbali vitakavyotumika  wakati wa NMB Bunge Bonanza linalotarajiwa kufanyika Jumamosi jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Meneja wa NMB Tawi la Bunge, Grace Matemu, Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Janeth Shango na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Layson Mwanjisi.

NMB ambao ndiyo wadhamini wakuu wa Bonanza hilo limekabidhi vifaa hivyo vyenye thamani ya zaidi ya sh. 100.

Bonanza hilo ambalo Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko litashirikisha michezo mbalimbali ya mpira wa miguu, wavu, pete, kufukuza kuku, kuvaa soksi, kurusha tufe, kuvuta kamba, kunywa soda, kula haraka wali kwa maharage pamoja na mbio za kutembea (Jogging). 








 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages