LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 29, 2024

MAMBO YA WAZIRI LUKUVI BUNGENI DODOMA


 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Serikali Bungeni, William Lukuvi akijadiliana jambo na Mbunge wa Nkasi Kusini, Vicent Mbogo bungeni Dodoma Agosti 29, 2024.

Lukuvi akijadiliana na Naibu Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Zainab Katimba bungeni Dodoma.

Lukuvi akiwapungia mkono baadhi ya wabunge na wananchi kwenye viwanja vya Bunge.

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA- 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages