LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 24, 2024

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI YA RAIS SAMIA KULIPATIA USAJILI KANISA LA KARMELI


Askofu Mkuu wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG), la Ipagala jijini Dodoma,  akiishukuru Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kulipatia usajili wa kudumu kanisa hilo kuendesha shughuli zake hapa nchini.


Shukrani  hizo amezitoa  wakati wa semina elekezi kwa wachungaji

wa kanisa hilo Agosti 22, 2024.


                                                         

IMEANDALIWA NA
 RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages