LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 23, 2024

AMIRIJESHI MKUU RAIS DK. SAMIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JWTZ, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia Zoezi la Medani lililohusisha vikundi mbalimbali vya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania  katika eneo la Pongwe Msungura, Msata mkoani  Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiimba pamoja na vikundi mbalimbali vya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wakitoka kwenye zoezi la Medani lililofanyika Pongwe Msungura, Msata mkoani  Pwani tarehe 23 Agosti, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambao walishiriki kwenye zoezi la Medani wakati wa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Pongwe Msungura, Msata Mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.
Shamrashamra za Askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa hafla fupi ya kufunga Zoezi la Medani lililofanyika Pongwe Msungura, Msata Mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki  zoezi la Medani wakati wa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Pongwe Msungura, Msata Mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages