Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), DK. Emmanuel Nchimbi anaanza ziara yake katika mikoa ya Mtwara na Lindi yenye lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020, kusikiliza na kutatua kero za wananchi, kuhuisha uhai wa Chama.
Ziara hiyo imeanza leo Julai 28, 2024 mkoani Mtwara na kumalizia mkoani Lindi Julai 31, 2024.

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇