LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 30, 2024

YUSUF MANJI AMEFARIKI DUNIA

 Mwenyekiti wa zamani na mfadhili wa Klabu ya Yanga, Yusuph Manji amefariki?


Taarifa ambazo zimeonekana kwwbye baadhi ya mitandao zinadai Manji ambaye ni mfanyabiashara maarufu hapa nchini amefariki Dunia nchini Marekani alipokuwa anatibiwa

Yusuph Manji

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages