LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 11, 2024

WAZIRI NAPE ATETA NA MWANYIKA UJENZI WA MINARA ULIWA NJOMBE MJINI

 


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka serikali kupeleka minara miwili katika kijiji cha Uliwa wilayani Njombe ili kuboresha mawasiliano.


Ametoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Juni 11, 2024.


Akijibu maombi hayo, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuwa watakaa pamoja na mbunge huyo kuhakikisha minara hiyo inapelekwa eneo husika.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages