LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 11, 2024

RAIS SAMIA AKIPOKEA GAWIO NA MICHANGO KUTOKA KWA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi kutoka kwa viongozi wa Mamlaka ya Mawasilisno Tanzania (TCRA) wakati wa hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za  Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Juni 11, 2024. Kushoto kwa Rais ni Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi kutoka kwa viongozi wa (TFS, wakati wa hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za  Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Juni 11, 2024. Kushoto kwa Rais ni Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi kutoka kwa viongozi wa Kampuni ya Airtel, wakati wa hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za  Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Juni 11, 2024. Kushoto kwa Rais ni Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi kutoka kwa viongozi wa Twiga Barick, wakati wa hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za  Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Juni 11, 2024. Kushoto kwa Rais ni Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi kutoka kwa viongozi wa Benki ya NMB, wakati wa hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za  Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Juni 11, 2024. Kushoto kwa Rais ni Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi kutoka kwa viongozi wa Puma Energy, wakati wa hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za  Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Juni 11, 2024. Kushoto kwa Rais ni Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi kutoka kwa viongozi wa TPC, wakati wa hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za  Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Juni 11, 2024. Kushoto kwa Rais ni Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi kutoka kwa viongozi wakati wa hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za  Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Juni 11, 2024. Kushoto kwa Rais ni Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwa furaha baada ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za  Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Juni 11, 2024.

Washiriki wakimsikiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia baada ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za  Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Juni 11, 2024.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages