LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 11, 2024

MAKAMU WA RAIS WA MALAWI ALIVYOFARIKI NA MKEWE KATIKA AJALI YA NDEGE

BLANTYRE, Malawi

Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Klaus Chilima (51), mkewe na watu wengine wananr wamefariki dunia katika ajali ya ndege kuanguka.


Ndege iliyombeba Chilima, mkewe na watu hao wanane,  ilianguka jana, jumatatu asubuhi, dakika 45 baada ya kuruka kutoka mji mkuu Lilongwe na kushindwa  kutua katika mji wa kaskazini wa Mzuzu kutokana na hali mbaya ya hewa na hivyo rubani kuamuru irejee Lilongwe.


"Nimesikitishwa sana, nasikitika kuwataarifu wote kuwa umetokea kuwa mkasa mbaya. vikosi vya uokoaji vimepata mabaki ya ndege hiyo karibu na kilima. 


Wameikuta ikiwa imeharibika kabisa na hakuna aliyesalimika," Rais wa chi hiyo Lazarus Chakwera amesema akitangaza msiba huo leo Jumanne Juni 11, 2024.

Chilima na mkewe enzi za uhai wao.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages