LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 14, 2024

SERIKALI: UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA UTAKUWA HURU NA HAKI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Festo Ndugange akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao ha viongozi wa dini, Asasi za kiraia na mashirika yasiyo ya kiserikali kujadili rasimu ya kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 jijini Dodoma juni 14, 2024.

Ndugange amesema kuwa kanuni hizo zitawezesha uchaguzi huo kuwa wa uhuru, haki na amani.

Baadhi ya viongozi wa dini na Asasi mbalimbali wakiwa kwenye kikao hicho.








IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages