LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 13, 2024

BALOZI NCHIMBI 'AGEUKA LULU' BUNGENI

Katibu Mkuu akiteta jambo na Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga kwenye viwanja vya Bunge baada ya kyshuhudia uwasilishwa wa Bajeti ya Serikali 2024/2025 bungeni Dodoma Juni 13, 2024.

Akizungumza na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara, Regina Ndege.
Akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata.
Akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo
Akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Khadija Taya maarufu Keisha.

Akizungumza na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Martha Gwau.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages