LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 13, 2024

DK NCHIMBI ASHUHUDIA UWASILISHWAJI BAJETI BUNGENI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel  Nchimbi na Kamisaa wa Sensa, Spika mstaafu wa Bunge, Anne Makinda wakifurahia jambo walipokuwa wakisikiliza uwasilishwa wa Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/2025 uliofanywa na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba  bungeni Dodoma Juni 13, 2024.
Dk. Nchimbi akitoa heshima alipokuwa akitambulishwa na Spika Dk. Tulia.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa CCM, Ally Happi pamoja na Katibu Mkuu wa UVCCM, Kakate Mwegelo wakati wa uwasilishwaji wa Bajeti hiyo.
Maafisa Wasaidizi Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM,  Tumaini Makene na Saleh Mhando wakiwa bungeni kusikiliza Bajeti hiyo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages