LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 24, 2024

DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR, LEO

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo Juni 24, 2024.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiwasili kuongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo Juni 24, 2024.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akilakiwa ukumbini alipowasili kuongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo Juni 24, 2024.

 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo Juni 24, 2024.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages