LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 8, 2024

DK NCHIMBI AMPOKEA KIONGOZI WA CUF ALIYEHAMIA CCM



.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi akimkaribisha kwenye chama hicho Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Wilaya ya Korogwe, Ndugu Nurdin Bakari,  rasmi kbaada ya kutangaza rasmi kukiacha chama chake hicho cha zamani na kujiunga rasmi CCM wakati wa mapokezi ya msafara wa kiongozi huyo eneo la Mombo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages