LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 8, 2024

RWEIKIZA AWAALIKA BUNGENI WANASHERIA ALIOHITIMU NAO UDSM 1986



Mbunge wa Bukoba Vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria ndogo, Dkt Jasson Rweikiza (aliyevaa suti ya kijivu katikati) amewaalika bungeni aliomaliza nao na digrii ya sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 1986.

Wasomi wenzie hao ambao baadhi wamewahi kushika nyadhifa mbalimbali nchini, walitambulishwa bungeni na Spika, Dkt Tulia Acksoni Jumanne Juni 4, 2024.


Wakitambulishwa bungeni.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages