LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 7, 2024

MARIAM NYOKA ATAKA WATUMISHI WALIO VYUONI WAONGEWE ELIMU YA ALAMA

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma, Mariam Nyoka ameiomba Serikali kuwaongezea elimu ya alama watumishi walio vyuoni pamoja na kuboresha miundombinu kwa watu wenye ulemavu wa kuona/ kusikia kwa lengo la kuwatendea haki.


Ametoa ombi hilo baada kuomba taarifa kwa Spika wakati Mbunge  wa Viti Maalum, Dkt Thea Ntara akitoa mchango wake katika mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 bungeni Dodoma mwishoni mwa wiki.


 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages