Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Thobias Makoba, akizungumza wakati wa mkutano wa kikao kazi baina ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na
Wahariri na Waandishi wa habari kuhusu
mafanikio ya Mfuko huo katika kipindi cha miaka
mitatu ya Rais wa Awamu ya Sita Dk. Samia Suluhu Hassan, ulioratibiwa na OTR na kufanyika jijini Dar es Salaam, Machi 7, 2024.Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga, akizungumza wakati wa mkutano wa kikao kazi baina ya Mfuko huo na
Wahariri na Waandishi wa habari kuhusu
mafanikio ya Mfuko katika kipindi cha miaka
mitatu ya Rais wa Awamu ya Sita Dk. Samia Suluhu Hassan, ulioratibiwa na OTR na kufanyika jijini Dar es Salaam, Machi 7, 2024.Washiriki wakiwa katika mkutano wa kikao kazi baina ya Mfuko huo na

mitatu ya Rais wa Awamu ya Sita Dk. Samia Suluhu Hassan, ulioratibiwa na OTR na kufanyika jijini Dar es Salaam, Machi 7, 2024.Mhariri Mkuu gazeti ya Nipashe Epson Luhwago akiuliza swali, katika mkutano wa kikao kazi baina ya Mfuko huo na
Wahariri na Waandishi wa habari kuhusu
mafanikio ya Mfuko katika kipindi cha miaka
mitatu ya Rais wa Awamu ya Sita Dk. Samia Suluhu Hassan, ulioratibiwa na OTR na kufanyika jijini Dar es Salaam, Machi 7, 2024.Meza Kuu wakisikiliza kwa makini wakati baadhi ya wahariri wa habari wakiuliza maswali katika mkutano wa kikao kazi baina ya Mfuko huo na
Wahariri na Waandishi wa habari kuhusu
mafanikio ya Mfuko katika kipindi cha miaka
mitatu ya Rais wa Awamu ya Sita Dk. Samia Suluhu Hassan, ulioratibiwa na OTR na kufanyika jijini Dar es Salaam, Machi 7, 2024.Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) Sabato Kosuri, akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa NHIF kujibu maswali na kupokea ushauri kutoka kwa Wahariri.
Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga, akijibu maswali ya wahariri wakati wa mkutano wa kikao kazi baina ya Mfuko huo na
Wahariri na Waandishi wa habari kuhusu
mafanikio ya Mfuko katika kipindi cha miaka
mitatu ya Rais wa Awamu ya Sita Dk. Samia Suluhu Hassan, ulioratibiwa na OTR na kufanyika jijini Dar es Salaam, Machi 7, 2024.Mjumbe wa Kamati ya utendaji Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Salim Saidi Salim akizungumza mwishoni mwa mkutano wa kikao kazi baina ya Mfuko huo na
Wahariri na Waandishi wa habari kuhusu
mafanikio ya Mfuko katika kipindi cha miaka
mitatu ya Rais wa Awamu ya Sita Dk. Samia Suluhu Hassan, ulioratibiwa na OTR na kufanyika jijini Dar es Salaam, Machi 7, 2024.
Your Ad Spot
Mar 8, 2024
Home
featured
Kitaifa
PICHA: YALIYOJIRI MKUTANO BAINA YA NHIF NA WAHARIRI WA HABARI KWA URATIBU WA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA
PICHA: YALIYOJIRI MKUTANO BAINA YA NHIF NA WAHARIRI WA HABARI KWA URATIBU WA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About CCM Blog
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇