LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 12, 2024

MBUNGE WA MCHINGA MAMA SALMA KIKWETE AKAGUA ATHARI ZA MVUA JIMBONI

Mbunge wa Mchinga mkoani Lindi  Mama Salma Kikwete ametembelea jimboni humo kukagua athari za mvua iliyonyesha na kuharibu miundombinu na makazi ya wananchi. Ameahidi kufanyia kazi athari hizo na kuwataka wakazi wa Mchinga kuwa na moyo wa subira wakati changamoto wanayokumbana nayo ikishughulikiwa.


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages