Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Komredi Abdulrahman Kinana, akisalimiana na kuzungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, walipokutana kwenye futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, jioni ya leo Jumanne Machi 12, 2024, Ikulu, jijini Dar Es Salaam.
Wengine pichani ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam, Ndugu Abbas Mtemvu (katikati), Katibu wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam, Ndugu Adam Ngalawa (kulia), Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Ndugu Juma Simba ‘Gadafi’ (mwenye kanzu ya kijani) na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Ndugu Toba Nguvila,



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇