LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 13, 2024

SPIKA TULIA AONGOZA WABUNGE KUTIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA LOWASSA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson akiwaongoza wabunge 7 kutia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma Februari 13,2024.


Mbunge wa Viti Maalumu Zainab Swai
Mbunge wa Bukoba Vijijini, Dkt Jasson Rweikiza
Mbunge wa Viti Maalumu, Salome Makamba
Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi
Mbunge wa Mbagala, Abdallah Chaurembo
Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt. Alice Kaijage
Mbunge wa Liwale, Zubeiry Kuchauka
Mbunge wa Msalala, Jumanne Iddi



Mbunge wa Viti Maalumu, Naghenjwa Kaboyoka



Mbunge wa Viti Maalumu, Christine Mzava

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
0754264203

 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages