LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 24, 2024

RAIS DK. SAMIA ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA RAIS WA NAMIBIA DK.GEINGOB, JIJINI WINDHOEK, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi mbalimbali wakati wa mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek tarehe 24 Februari, 2024. Hayati Rais Geingob alifariki dunia tarehe 04 Februari na anatarajiwa kuzikwa tarehe 25 Februari, 2024 katika Makaburi ya Mashujaa ya Heroes’ AcreJijini Windhoek

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages