1.Ubora wa Yanga
"Toka ligi ianze Yanga wamecheza vizuri zaidi juzi kuanzia juhudi ,maarifa na kufunga magoli ambayo inaonekana haiwezekani kufunga" Anasema Ismail Aden Rage
2.Pacome alipaswa kuwa timu ya Taifa
"Pacome amenifurahisha na ningekuwa najua namba ya simu ya kocha wa Taifa ya Ivory Coast ningempa maneno Yake kuwa Pacome anastahili kuitwa timu ya Taifa ya Ivory Coast"
3.Chama na Pacome kila mtu ana ubora wake
"Ball control ni Chama ,Ball dribbling ni Pacome ,Hawa ni wachezaji wawili tofauti wenye sifa tofauti"
Aden Rage kuhusu Paccome na Chama

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇