WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako (kulia) na Waziri wa Maliasili na Utalii, Angelah Kairuki (katikati) wakijadiliana jambo na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Zlatan Milisic wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Kodi na Uwekezaji uliofanywa na Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Februari 27, 2024.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇