Mbunge wa Bukombe, ambaye ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dotto Biteko akishangiliwa na wapiga kura walioalikwa kutembelea Bunge jijini Dodoma Februari 14,2024.
rDkt Dotto Biteko akizungumza jambo na wananchi kutoka Jimbo la Bukombe.
Dk. Biteko akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Geita, Rose Busiga
Dk. Biteko akizungumza na Katibu wake wa ubunge, Jonathan Mgaya.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇