Mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza na Mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege wameitaka serikali kuanza uboreshaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ikiwemo kuanza ujenzi wa kipande cha Reli ya Tazara kutoka Tunduma hadi Bandari ya Katanga. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇