LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 14, 2024

LUPEMBE AITAKA SERIKALI KUKAMILISHA UJENZI WA MRADI WA UMWAGILIAJI USENSE, NSIMBO

Mbunge wa Jimbo la Nsimbo, mkoani Katavi, Anna Lupembe ameihoji serikali bungeni Februari 14, 2024 kwamba ni lini itakamilisha ujenzi wa mradi wa umwagiliaji maji wa Usense, katika Kata ya Urulwa jimboni humo?

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages