LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 18, 2024

ZIARA YA KICHAMA YA MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. SAMIA UNGUJA, LEO

Matukio katika Picha, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, aiwa katika ziara ya Kichama, ambapo baadaye alifanya mutano wa majumuisho wa mikoa mitatu ya Unguja, uliofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo, tarehe 18 Januari, 2024.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages