LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 18, 2024

KASAKA: UJIO WA DKT NCHIMBI NI TURUFU KUBWA KWA CCM

Mbunge wa Jimbo la Lupa, Chunya, Masache Kasaka amesema kuwa ujio wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) ni turufu kubwa na atasaidia sana katika Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025.


Ametoa maoni yake hayo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Januari 18, 2024.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI
 BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages