LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 3, 2024

UWT, OMUKA WAICHAMBUA MISWADA YA SHERIA, SIASA

 


UWT chini ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda wamechambua na kujadili Miswaada ya Sheria zinazohusu Uchaguzi na Siasa kwa lengo la kuimarisha ushiriki wa Wanawake kupitia Mapendekezo ya UWT. Semina imeandaliwa na NDI na Omuka Hub. Mkufunzi alikuwa Mhe Neema Lugangira (Mb).


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages