LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 6, 2024

SHULE 68 ZA SEKONDARI ZISIZO ZA SERIKALI ZILIZOIDHINISHWA KUTEKELEZA MTAALA WA AMALI KUANZIA JANUARI 2024

Na Official CCM Blog
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) kupitia NECTVET imezitaja Shule za Sekondari zisizo za Serikali zilizoidhinishwa kutekeleza Mtaala wa Amali, kuanzia Januari hii, 2024.

Taarifa iliyosainiwa na Kamishna wa Elimu Dk. Lyabwene Mtahabwa imesema shule hizo ni ambazo WyEST kupitia NETVET imefanya tathmini katika shule za sekondari zilizopendekezwa kutekeleza mtaala huo ili kujiridhisha na maandalizi yaliyofanyika kwa ajili ya kuanza utekelezaji Januari 2024.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Wamiliki wa shule husika wanatakiwa kuwaelekeza wakuu wa shule kwa kushirikiana na Wazazi/Walezi katia kufanya maamuzi ya uchaguzi wa mikondo ambayo wanafuzi wa kidato cha kwanza mwaka 2024 watasoma.

Shule zenyewe hizi hapa👇

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages