LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 6, 2024

MSAJILI WA HAZINA ATOA SEMINA KWA KAMATI YA BUNGE YA PIC

BoT, Dar es Salaam

Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) jana Januari 5, 2024, ilianza kutoa semina ya siku mbili wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ikiongozwa na Mwenyekiti Deus Clement Sangu, Katika ukumbi wa Benki ya Tanzania (BOT) Jijini Dar es Salaam.

Semina hiyo ilifunguliwa na Msajili wa Hazina, Nehemia Msechu ambaye pia alitoa mada kuhusu 'Tathimini ya Utendaji wa Taasisi na ufanisi wa Usimamizi wa Taasisi za Umma na pia Wakufunzi wengine katika mafunzo hayo waliuwa ni pamoja na Mkurugenzi wa Uwekezaji Lightness Mauki na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sheria Serephine Tamba.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages